Search

863 results for Saddam Sadick :

  1. Mashujaa kumwaga noti kwa mastaa kuiua Yanga

    WAKATI Mashujaa FC ikibakiza mechi sita kujua hatima yake Ligi Kuu Bara, uongozi wa timu hiyo umesema utaongeza dau kwa wachezaji ili kuhakikisha kuanzia mechi ijayo dhidi ya Yanga hawaachi kitu...

  2. Singida BS: Tunamtaka Chama, Tchakei haondoki

    UONGOZI wa Singida Black Stars (Ihefu SC) umesema Clatous Chama ni mchezaji unayetamani kuwa naye msimu ujao, ukibainisha kuwa iwapo muda utafika kila kitu kitakuwa wazi kwa kuwa bado staa huyo...

  3. Ken Gold inasukwa upya Ligi Kuu na mikakati Kibao

    Ubingwa wa Ligi Kuu msimu ujao hapana. Ni kauli ya uongozi wa Ken Gold, ukielezea mikakati yao ya msimu ujao baada ya kupanda Ligi Kuu ukisema hawatakurupuka kusuka kikosi na kipaumbele ni wazawa...

  4. Kinara wa mabao aitega Ken Gold

    BAADA ya kuandika rekodi mbili tamu Championship, winga wa Ken Gold, William Edgar amesema bado hajajua hatma yake kubaki au kuondoka kikosini humo msimu ujao. Nyota huyo ameshinda tuzo ya...

  5. Ken Gold kuzipeleka Simba, Yanga Chunya

    'Tanzania tunaitaka Chunya'. Ni kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbarack Batenga akielezea Ken Gold kutumia Uwanja wa Chunya kwa ajili ya mechi zao za nyumbani Ligi Kuu msimu ujao. Uwanja huo...

  6. Championship mwisho wa ubishi ni kesho

    Pazia la Ligi ya Championship msimu huu linafungwa kesho Jumapili huku utamu utakuwa jijini Arusha wakati Pamba itakaposaka nafasi ya kuzika mzimu ulioitesa kwa zaidi ya miaka 20 kutopanda Ligi...

  7. PRIME Staa Simba aanika mazito

    Lakini amekwenda mbali zaidi kwa kudai hata mazoezi ya Kocha Abelhak Benchikha yanatumia muda mrefu sana ambao unachosha wachezaji na akasisitiza pia kwa kipa Ayoub Lakred hana tatizo.

  8. Kocha Prisons: Ligi imekuwa ngumu, wachezaji wanatafuta soko

    Mbeya. 'Ligi ni ngumu, wachezaji wanatafuta soko'. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Ahmad Ally akieleza msoto wa mechi tano mfululizo bila ushindi baada ya suluhu dhidi ya Kagera...

  9. Ken Gold yapanda Ligi Kuu Bara 

    Baada ya kusota kwa misimu mitatu mfululizo bila mafanikio, hatimaye Ken Gold imepanda Ligi Kuu baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya FGA Talents, leo. Mabao pekee na ya kihistoria...

  10. Mtoko wa KenGold twenzetu Ligi Kuu Bara

    WAKATI Ken Gold ikishuka uwanjani leo Jumapili dhidi ya FGA Talents, Jiji la Mbeya litasimama kwa muda kushangilia historia ya mafanikio kwa timu hiyo kupanda Ligi Kuu. Hii ni baada ya kudumu...

Page 1 of 87

Next